Edwin Bliss C

Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.

Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.

Wednesday, August 15, 2012

Mwenyekiti wa CHADEMA RUCO sikuwa mchache wa maneno. Tarehe 12.8.2012, tulikua kule Rungwe Mkoani Mbeya. Hakuna kulala mpaka kieleweke.


Iron Lady mwenyewe nikitiririka na mahoja ya ukweli. Aluta continua!




Hapa nikipokea baraka za wazee. Kitu muhimu sana


No comments:

Post a Comment