Edwin Bliss C

Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.

Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.

Wednesday, August 15, 2012

Wanarungwe nao hawakua nyuma katika kutoa ushirikiano na kuonyesha kiu ya mabadiriko ya kweli. Tulianza kwa staili ya 'breki dansi' ya asili na mengine yakafuata.





No comments:

Post a Comment