Familia hiyo imefanya maamuzi hayo baada ya hali ya kiongozi huyo kuendelea kutokutia matumaini tangu kupelekwa kwake hospitali kwa ajili ya matibabu
KUMBUKA:
HUYU NDIYE KIONGOZI PEKEE AFRIKA ALIYEJITOA MAISHA YAKE KWA AJILI YA KUPINGA NA KUPAMBANA NA UBAGUZI WA RANGI DHIDI YA MAKABURU NCHINI AFRIKA YA KUSINI..
PIA MOJA YA MARADHI YANAYOMSUMBUA KIONGOZI HUYO NI PAMOJA NA KUATHIRIKA KWA MAPAFU MARADHIA AMBAYO YALIANZA KUMMALIZA TOKA ALIPOKUWA GEREZANI
TUNAKUPENDA NA TUTAKUPENDA DAIMA NELSON MANDELA
SOURCE---VOICE OF AMERICA(VOA)
No comments:
Post a Comment