Edwin Bliss C

Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.

Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.

Thursday, June 20, 2013

MAMIA WAFURIKA KUMZIKA KAMANDA JUDITH...KWELI OGOPA SANA WATU WAKICHOKA.


.Picha za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I Judith William Moshi, alie uwawa na kwa mlipuko wa bomu kwenye viwanja vya soweto jijini Arusha siku ya kufunga kampeni za chaguzi ndogo tarehe 15.06.2013, uchaguzi ambao ulikuwa ufanyike tarehe 16.06.2013...
Click image for larger version. 

Name: 1.jpg 
Views: 0 
Size: 85.0 KB 
ID: 98624

Lala kwa amani JUDITH...
Click image for larger version. 

Name: 2.jpg 
Views: 0 
Size: 84.4 KB 
ID: 98625
 
watu wakichoka wamechoka hata utumie mtutu wa bunduki hawataogopa...umati wa watu ukienda kumzika kamanda JUDITH
Click image for larger version. 

Name: 4.jpg 
Views: 0 
Size: 66.0 KB 
ID: 98627
Marehemu wengine walisafirishwa juzi usiku kuelekea Tanga na Tabora huku jana majeruhi mwingine akiaga dunia kwa bomu na risasi za tarehe 15.06.2013
 
 
Mtoto aliyelazwa hospitali kwa kupigwa bomu  nae inasemekana ameaga dunia leo

MWENYEZI MUNGU NA AZILAZE MAHALI PEMA ROHO ZA MAREHEMU
AMINA...
 

No comments:

Post a Comment