Pamoja na sherehe hizo pia lilifanyika tukio la kuzindua chama cha wanafunzi wafamasia Tanzania(TAPSA) ambacho hapo awali hakikuwahi kuwepo chuoni hapo .Rais wa chama hicho Tanzania ndiye aliyetakiwa kuzindua(alituma mwakilishi) na hivyo kufanya chama hicho kutambulika kitaifa
Haya ni baadhi tu ya matukio yaliyojiri katika sherehe hizo
Hawa ndio wahitimu wa kitengo cha famasia 2013
Hawa ni wanafunzi wa mwaka wa tatu(wahitimu) wakipata vinywaji
Hii ni keki iliyoandaliwa kwa ajili ya uzinduzi wa chama hicho(TAPSA)
Kuanzia kushoto ni mkuu wa idara ya afya,mlezi wa chama,Rais wa chama,mgeni rasmi,mfamasia wa mapispaa ya iringa pamoja na mkuu waa kitengo cha pharmacy katika chuo kikuu cha RUCO
Hawa nio viongozi wateule wa TAPSA
Mkuu wa idara ya afya Mr Gasper Bartazary akizungumza jambo wakati wa kula keki
Mkuu wa kitengo cha famasia Mr Mdegela Petro akizungumza neno kabla hajamlisha mfamasia wa manispaa ya iringa(Mr Alfred) keki
Wanafunzi wanaobaki wakutumbuiza na kitu ya ngwasuma
Hapa chini..mlezi(Mr Mdugi Goodluck) akilishwa keki na rais Rais wa chama hicho
No comments:
Post a Comment