Edwin Bliss C

Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.

Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.

Wednesday, December 19, 2012

MKUTANO WA MH. VICENT NYERERE MJINI IRINGA KATIKA PICHA

Mh. Peter Msigwa Mbunge wa Iringa mjini akiwahutubia wakazi wa mkoa wa Iringa [hawako pichani]


Wakazi wa Iringa mjini wakishangilia hotuba ya mbunge wa Musoma, Mh Vicent Nyerer [hayuko pichani] katika mkutano uliofanyika katika viwanja vya Mwembetogwa.


No comments:

Post a Comment