Jana Mkoani Mbeya kimefanyika kikao cha Baraza kuu la Mkoa ambapo
wajumbe wa Wilaya zote walihudhuria..
Kikao kiliazimia mambo makuu yafuatayo;
1; kumtimua rasmi ndugu Edo Makata Mwamalala uanachama.
2; kumsimamisha m/kiti BAVICHA mkoa ndugu Kasambala nyadhifa
zake zote ndani ya chama.
3;kuundwa kwa kamati ya
uchunguzi ili kuwabaini wale wote wanaotuhumiwa kukichafua chama.
Ikumbukwe kuwa ndugu Edo
Kasambala ndiye aliyekwenda kwenye vyombo vya habari kumtaka Dr SLAA ajiuzuru
kwa kuwa na kadi mbili.
Pia inasemekana kuwa bwana kasambala ni sehemu ya kundi la MASALIA
ambalo linatuhumiwa kukihujuma chama.
source-jamii forum
No comments:
Post a Comment