Mahakama imejiridhisha kuwa madai ya udhalilishaji hayakuathiri uchaguzi wala mlalamikaji. Hivyo basi, Godbless Lema ni mbunge halali wa Arusha mjini kwa tiketi ya CHADEMA na mlalamikaji ameamuliwa kulipa gharama zote za kesi tangu ilipofunguliwa. [source - jf]
No comments:
Post a Comment