Edwin Bliss C

Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.

Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.

Tuesday, December 25, 2012

Mh. Tundu Lissu Kuhutubia mjini Iringa






Mh. Tundu lisu [pichani] anatarajia kuhutubia wananchi wa Iringa mjini mara baada ya sikukuu za noeli na mwaka mpya. Hii si ya kukosa.

No comments:

Post a Comment