TETESI;
Kutoka kwenye chanzo kinachoaminika inasemekana kwamba waliokuwa viongozi wa chadema ngazi ya baraza la vijana baadhi yao waenguliwa kwa utovu wa nidhani.
Ni katika kikao kilichofanywa hapo jana na viongozi wa kitaifa wa baraza hilo.
Tutaendelea kupeana taarifa kwa kadili mambo yatakavyokuwa.
STAY TUNED
No comments:
Post a Comment