Moja ya mambo yaliyoshika kasi kwenye vyombo vya habari takribbani wiki mbili sasa ni suala la GAS Mkoani Mtwara. Licha ya wanaharakati mbalimbali kuonekana kama vile wamemwagiwa maji na kutetemeka kwa baridi ,kiashiria kwamba wanaogopa kutamka waziwazi kinachofanywa na JK sio jambo jema .Dr Slaa Katibu Mkuu wa CDM huyu hapa kupitia page yake ya fbWilbrod Slaa
Serikali isiyo makini hujaribu kuuaminisha umma kwamba kilio chochote kile cha jamii inayoiongoza ni hujuma za upinzani na ni siasa tu. Hujiaminisha kwamba kilio cha matumizi ya rasilimali za Taifa yasiyo ya usawa au uhamishaji fedha haramu ni siasa na kelele za msimu. Usaliti na wehu wa hali ya juu kabisa katika uongozi wa nchi ni kuamini kwamba uko sahihi zaidi ya mamilioni ya wananchi unaowaomba kura.
Article 18 [a] Every person has a freedom of opinion and expression of his ideas (United Republic of Tanzania Constitution)
Edwin Bliss C
Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.
Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.
Thursday, January 17, 2013
DR SLAA AFUNGUKA GESI YA MTWARA
Dr. Slaa avunja ukimya suala la Gesi Mtwara na vurugu nyingine zinazoendelea kwingineko nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment