Baada ya viongozi wa dini ya kikristo kutoa matamko yao juu ya hujuma za serikali kuhusu gesi ya mtwara,waislamu nao wamekutana leo kujadili juu ya suala hilo
Wakiungana na wananchi wengine nchini kote wanasema hata wao hawako tayari gesi kutoka mtwara bila kujua itawanufaishaje
No comments:
Post a Comment