Katika hali isiyotegemewa na wengi ndgu. Nape Nnauye amekiri ya kuwa kwa hali ilivyo sasa WAPINZANI wananafasi kubwa ya kuingia ikulu.
Hii ni kutokana na mambo yalivyo ndani ya CCM na huku upinzani ukijipenyeza hadi vijijini.
Pia aliongeza ya kwamba MAFISADI NA KUNDI LAO ndani ya chama wanamchukia kutokana na misimamo yake dhidi ya Mafisadi.
Habari zaidi. Dira ya Mtanzania.
Kwa hali ilivyo kusini mwa nchi CCM wamesoma alama za majira.
Huwezi kumfanya mtu mjinga milele
No comments:
Post a Comment