Mbunge wa Musoma mjini Vicent Nyerere anashikiliwa na polisi kwakosa la
kuhamasisa maandano ya wanafunzi wa IFM jana.
taarifa nilizo zipata ni
kuwa Vincent alienda jana kwenye chuo hicho na muda mfupi baadae
kulitokea maandamano na vuruguru kubwa, hivyo anahisiwa kuwa yeye ndiyo
chanzo cha vurugu hizo...
Naendelea kufuatilia kwa ukaribu kabisa habari hizi
No comments:
Post a Comment