Edwin Bliss C

Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.

Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.

Thursday, May 30, 2013

DIWANI WA CCM AFIA JUKWAANI MKOANI MOROGORO,NI KATIKA KAMPENI ZA UDIWANI ZINAZOENDELEA NCHINI KOTE

HABARI KWA UFUPI

NI KATIKA HALI ISIYOKUWA YA KAWAIDA NA ILIYOWASHANGAZA WENGI,DIWANI WA KATA YA KIBAONI WILAYANI KILOMBERO(JINA HALIJAPATIKANA) AMEFARIKI DUNIA AKIWA JUKWAANI AKIMNADI MGOMBEA WA UDIWANI KATA YA IFAKARA WILAYANI HUMO

KUTOKA KATIKA CHANZO CHA HABARI KINACHOAMINIKA INASEMEKANA KUWA HAKUONYESHA DALILI ZOZOTE ZA KUWA NA TATIZO LA KIAFYA ILA ALIDONDOKA TU NA KUFA PAPO  HAPO BILA KUJULIKANA CHANZO CHAKE

MPAKA NAINGIA MTANDAONI SIJAPATA TAARIFA YOYOTE KUTOKA KWA MGANGA MKUU WA HOSPITALI ALIYOHIFADHIWA


nitaendelea kukupa taarifa zaidi 

No comments:

Post a Comment