Edwin Bliss C

Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.

Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.

Thursday, May 23, 2013

HABARI PICHA:HII NDIO HALI HALISI INAYOENDELEA MTWARA

Haya ndiyo yaliyojiri mkoani Mtwara baada ya kusomwa kwa hotuba ya Nishati na Madini ambayo bado imeendelea kutoa msimamo wa kusafirisha gesi kutoka mtwara kwenda Dar es salaam.
 
Spika Anne Makinda aliahirisha Bunge baada ya kupokea taarifa za maafa hayo mapema asubuhi leo


Hii ni mbulance ya Manispaa



Magari ya Watumishi yakiwaka moto


baadhi ya ofisi zikiwaka moto

No comments:

Post a Comment