Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema tatizo la vurugu za wananchi wa Mtwara kupinga gesi kusafirishwa kuja Dar linahitaji meza ya mazungumzo na sio matumizi ya nguvu.
Busara ikitumika tatizo litaisha, serikali ikubali kufanya mazungumzo ya wazi na kina kupitia wananchi wenyewe, jumuiya za kiraia(eg.Viongozi wa dini, vyama vya siasa, taasisi za kiraia nk) nk.
Mbowe amesema hayo mara baada ya bunge kuhairishwa leo asubuhi mjini Dodoma.
chanzo -itv
No comments:
Post a Comment