ALICHOKIANDIKA ZITTO KABWE KUHUSU KAULI YA PINDA KURUHUSU POLISI KUPIGA WANANCHI
Baada ya Mhe Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutoa ruhusa kwa polisi kupiga wananchi, Mh Zitto Kabwe nae atoa tamko lake juu ya tamko hilo. Kupitia account ya tweeter Zitto alisema;
“Viongozi wa kisiasa lazima wajue kuweka akiba ya maneno yao. Kuropoka
hovyo hovyo wakati kama huu wenye taharuki ni hatarii sana”.
Aliongeza pia kwa kusema;
“Ni
lazima viongozi wawajibishwe kwa maneno wanayotamka.Mh. Pinda anahamasisha
ukiukwaji wa katiba na sheria".
Viongozi wa kisiasa lazima wajue kuweka akiba ya maneno yao. Kuropoka hovyo hovyo hasa wakati kama huu wenye taharuki ni hatari sana
— Zitto Zuberi Kabwe (@zittokabwe) June 21, 2013
No comments:
Post a Comment