Mh Chiku Abwao(viti maalumu mkoa Iringa) akimnadi mgombea wa CHADEMA bwana Nafred Chahe.
Mwenyekiti wa Chadema chuo kikuu cha Ruco aliyestaafu akimuombea kura mgombea kwa wananchi
Shamra shamra wakati wa kufunga kampeni
Mhe Chiku Abwao akishambulia ugali na mboga za majani baada ya kampeni
Rais wa chuo kikuu cha RUCO akiwa katika pozi na taifa la kesho kijijini hapo
Huyu ni mzee wa chadema aliyepigwa na viongozi wa CCM akitokea kwenye kibanda cha maziwa
katika uchaguzi huu CCM walishinda kiti cha udiwani dhidi ya mpinzani wake mkali CHADEMA
No comments:
Post a Comment