Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa kumetokea maandamano yanayo ambatana na vurugu huko Masasi, chanzo kikisemekana kuwa ni kuchoshwa na manyanyaso ya Polisi dhidi ya vijana wa boda boda. Nyumba ya mbunge inasemekana kuharibiwa, na mahakama kuchomwa moto. Baada ya askari wa Masasi kuzidiwa, imebidi waagizwe wengine kutoka Mtwara.
updates
![]() |
| Mali za mbunge zikiteketea |
![]() |
| Watu wakihaha kuokoa mali za mbunge |
PICHA ZAIDI
![]() |
| Hii yasemekana kuwa ni mahakama ya mwanzo |
Tarajia habari zaidi juu ya tukio hili na matukio mengine





No comments:
Post a Comment