Edwin Bliss C

Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.

Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.

Saturday, January 26, 2013

MKUTANO WA 'MAGAMBA' MJINI IRINGA 'WAFANA'


Baadhi ya mapambo ya CCM yakitapakaa


Moja ya magari yaliyotumika kubeba wafuasi wa CCM
Wanyakazi wa manispaa ya Iringa wakifanya usafi eneo la mkutano


Baada ya kushuka kutoka kwenye mafuso, baadhi wafuasi wakijongea kusikiliza hotuba.



Pamoja na somba somba ya CCM, iliambulia umati huu wa watu. Linganisha na picha ya chini iliyopigwa eneo hilo hilo alipokuja Mh. Tundu lisu takriban mwezi mmoja uliopita bila somba somba ya aina yoyote.

Hivi ndivyo hali ilivyokua pindi alipofika Mh. Tundu Lisu takriban mwezi mmoja na kufanya hotuba katika eneo hilo hilo

Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA pichani wakionyesha umoja wao ndani ya jimbo



Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA waliofika kusikiliza hoja za wapinzani watarajiwa.




Kijana ambaye nina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa chini ya ulinzi. Hata hivyo alilazimika kuachwa huru kutoka na kundi kubwa la watu kuambatana naye.



'Waungwana' pia hawakukosa kwenye hafla



Mzozo uliibuka baina ya baadhi ya wafuasi wa wageni jimboni [CCM] na wanyeji. Hata hivyo ulitulizwa kwa amani






No comments:

Post a Comment