Mgogoro mkubwa unaoendelea kufukuta ndani ya Chama Cha Mapinduzi [C.C.M] wilaya ya Bukoba mjini mkoani Kagera kati ya madiwani na meya wa jiji hilo, Anatory Amani, umemlazimu makamu mwenyekiti wa chama hicho Philip Mangula kwenda kutuliza upepo.
Bofya link hii kwa habari zaidi
No comments:
Post a Comment