Article 18 [a] Every person has a freedom of opinion and expression of his ideas (United Republic of Tanzania Constitution)
Edwin Bliss C
Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.
Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.
Wednesday, January 23, 2013
Wakenya na mpango wa jiji la 'silcon'
Rais wa Kenya amezindua mpango kabambe wa ujenzi wa jiji la kimtandao ama IT city ambalo litatoa ajira takriban elfu ishirini ifikapo 2015 na ajira 200,000 ifikapo 2030.
No comments:
Post a Comment