[kutoka mitandao ya kijamii]
Mgogoro juu ya uchinjaji nyama mkoani Mwanza umechukua sura mpya baada ya hoja za Waziri Stephen Wasira kupingwa na waumini wa dini ya kikristo. Hii ni baada ya waziri huyo kutoa tomko la kwa niaba ya serikali kuwa suala la uchinjaji halina budi kuachwa kwa waislamu kwakuwa hiyo ni ibada kwao. Hata hivyo ilidaiwa kuwa haiwezekani suala hilo likabaki hivyo kwani ni kama kuwapendelea Waislamu kutokana na matakwa yao.
No comments:
Post a Comment