Edwin Bliss C

Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.

Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.

Monday, July 1, 2013

HIVI NDIVYO WATANZANIA WALIVYOMLAKI OBAMA

Rais wa marekani Barack Obama

Barack Obama na familia yake wakishuka kwenye ndege jijini Dar es salaam
Barack Obama na mkewe wakikabidhiwa zawadi ya maua
 
Barack Obama akijaribu kucheza ngoma za aslil
Hapa anapita kuangalia vikundi vya waimbaji
 
watanzania wakisalimiana na obama akielekea ikulu


Ni hayo tu kwa ufupi wasomaji wangu
 
 
 


No comments:

Post a Comment