Edwin Bliss C

Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.

Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.

Tuesday, July 2, 2013

OBAMA NA BUSH WAKUTANA DAR

Rais Obama na Bush walikuatana leo asubuhi katika balozi za Marekani zilizopo jijini Dar es Salaam na kutoa  heshima zao kwa wale waliopoteza maisha kutokana na shambulio la kigaidi nchini Tanzania mwaka 1998.

Bofya hapa kwa habari zaidi

No comments:

Post a Comment