The Rosemayemba blog

Article 18 [a] Every person has a freedom of opinion and expression of his ideas (United Republic of Tanzania Constitution)

Edwin Bliss C

Success does not mean the absence of failure; it means the attainment of ultimate objectves. It means winning the war, not every battle.

Kufanikiwa hakumaanishi kushinda kila jambo; kunamaanisha kufikia malengo. Kunamaanisha kushinda vita na sio kila pambano.

Wednesday, July 3, 2013

MISRI YAANGUKA TENA

Baada ya saa 48 kupita jeshi la wananchi la misri limemvua urais kiongozi wa nchi hiyo( mohamed morsi) kwa madai kwamba ameshindwa kutekeleza matakwa ya wapiga kura wake.

mpaka sasa tv ya taifa iko chini ya jeshi hilo kwa ajili ya kuwatangazia wananchi juu ya maamuzi yaliyofikiwa

Tayari vifaru vya kijeshi vimeanza kuingia mtaani











tutaendelea kujuzana kwa taarifa zaidi..
        
Posted by iron lady at 11:33 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tafuta

Nguvu ya Umma

Nguvu ya Umma
The mind is the limit

Hello. Mimi ndiye Rose Mayemba. Karibu katika blog yangu

iron lady
View my complete profile

My Blog List

  • Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
    Daktari aelezea dhana majani ya chai kusababisha presha
  • MH. PETER MSIGWA BLOG
    Wajue Madiwani wa kata za jimbo la iringa Mjini katika Picha

Guests

Kabati

Pages

  • Home
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.